Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa furaha kwa staika wa tanzania mbwana ally samatta baada ya kuifungia timu yake ya genk goli 2-1.
Samatta aliifungia genkbambayo ilikuwa uwanja wa nyumbani dakika ya 5' na 42 za mchezo huo.
Ushindi huo genk inabakia nafasi ya 8 huku club brugge inabakia nafas yavkwanza.