Jumamosi, 4 Machi 2017

Mtanzania mbwana samatta aifungia krc genk bao 2-1 dhidi ya club brugge.

Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa furaha kwa staika wa tanzania mbwana ally samatta baada ya kuifungia timu yake ya genk goli 2-1.


Samatta aliifungia genkbambayo ilikuwa uwanja wa nyumbani dakika ya 5' na 42 za mchezo huo.



Ushindi huo genk inabakia nafasi ya 8 huku club brugge inabakia nafas yavkwanza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni